KIKAO CHA DIASPORA WA TANZANIA NA UBALOZI JINJA
Tarehe12 Mei 2024, Ubalozi ulishiriki katika kikao cha Diaspora wa Tanzania waishio Jinja. Pamoja na masuala mengine, Mhe. Maj. Gen. Paul Kisesa Simuli, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda alitumia… Read More